
Mashabiki wa nyimbo za kwaya/Gospel MARY MARY wa Atlanta, USA wamemjia juu mmoja ya waimbaji hao wawili (Erika Campbell) kwa kupiga picha za promosheni ya Album yake pekee (solo album) ambazo washabiki wanadai kuwa kuwa nguo zake zinabana mno na zinaonyesha figure ya umbo lake.
Sasa jamani dada wa watu avae vipi? kwa kweli amependeza namejistiri lakini wapi...
Comments
Post a Comment