![]() |
Shukran za Snura zinaendelea na safari hii ameandika kuhusu wimbo wake ulio hit sana MAJANGA. Haya ndo maneno yake aliyo post kupitia ukurasa wake wa Instagram. |
"Unaweza kujiuliza kwann..... lakini nalazimika kuushukuru huu wimbo umenifanyia makubwa sana ambayo sikuyategemea nilianza kukubalika na kupendwa sana kwenye mziki baada ya kutoa wimbo huu umenitoa sehem moja na kunipe sehem nyingine...nimepata show nyingi kwasababu ya huu wimbo umenitambulisha vizuri sana kwenye hii game ndani na nje ya nch ....umeleta usemi kila kona kila mtu anakwambia majanga ya snura yani umenifanya nitajwe midomoni mwa watu karibu kila siku watoto wakubwa wazee kwavijana wote wanaupenda wimbo huu yani kila rika ni wimbo ambao unaishi kila siku upo.......asante MAJANGA....shukrani zinaendelea...."
Comments
Post a Comment