BONGO MOVIES YA JOYCE KIRIA YARUDI UPYA KATIKA LUNINGA YAKO!

Msanii Pastor Myamba akiwa na crew ya Bongo Movies wakionesha alama ya 5 kama ishara ya kutua EATV hivi karibuni.
 (Main Picture)  - Msanii Pastor Myamba akiwa na crew ya Bongo Movies
 Pastor Myamba na Selina
Lutazwa, Selina na Hagai
Ilikuwa inaongozwa na Super woman Joyce Kiria, safari hii inarudi ikiwa na watangazaji wapya kabisa. Je, unawafahamu? Usikose kuiona studio mpya full red carpert. Kauli mbiu ya msimu mpya ni WASANII TUWE MIFANO BORA KATIKA JAMII. Unachotakiwa kufanya ni kuendelea kutazama luninga yako kupitia kituo bora cha vijana Ting'a namba moja EATV hivi karibuni Bongo Movies inatua tena. Yes, ni very SOON!

Tuwe pamoja katika kuhakikisha tunanyanyua na kuendeleza tasnia ya sanaa na wasanii hapa nchini. Bongo Movies, inachonga barabara, wengine wanafuata!

Comments