Chief Kiumbe ambaye jina lake halisi ni Muhammed Abdallah Kiumbe, amefunguka exclusively kupitia kipindi cha Sun Rise cha 100.5 Times Fm katika ‘Exclusive Friday’ ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwake kufanya mahojiano na kituo cha radio hapa nchini. Msikilize
Diamond akiwa katika pose baada ya show na Chief Kiumbe the Boss (mwenye chain kubwa) |
Comments
Post a Comment