GRACIAS KWAYA YA WAKOREA WAKIMBA NYIMBO ZA DINI KWA KISWAHILI [VIDEO].

'Ametenda Maajabu' ni pambio ambalo waumini wengi wa madehebu mbali mbali ya Kikristo wamekuwa wakiimba na sasa hii kwaya ya wakorea nayo imeamua kufanya yake na kuuimba vizuri sana pamoja na nyimbo zingine hapo chini. Kweli kwa Mungu haijalishi kabila. Barikiwa.






Comments