Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese mazoezi hayo katika klabu ya biafra iliyopo kigogo mburahati Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Comments
Post a Comment