IPI NAFASI YA MWANAMKE KATIKA MAAMUZI KUANZIA NGAZI YA CHINI MPAKA JUU? [WANAWAKE LIVE].

Watazamaji wa kipindi Cha Joyce Kiria Wanawake Live, kipindi cha kwanza kabisa kwa mwaka huu wa mpya wa mwaka 2014, kuangalia ni nini kinafanyika katika kutokomeza ukatili wa kijinsia na kero mbalimbali zinazowakumba wanawake. 

Comments