JAMBO GIFT BASKETS TANZANIA.


Jambo Gift Baskets Tanzania ni kampuni inayojishughulisha kwa kupokea na kuandaa oda mbalimbali za vifurushi zawadi kwa makampuni, maofisi, mashirika na taasisi kwaajili shughuli zao zao kama pongezi kwa makampuni mengine, kwa watumishi wao, makongamano, kwa wateja wao, makampuni marafiki vilevile kuwakaribisha na kuwaaga wageni.

Kwa mahoteli tunanandaa shughuli za hotel (hotel amenities) kwa ajili ya kuwakaribisha wageni wanaowasili kwa mara ya kwanza, wageni rasmi(VIP), wageni waliokaa muda mrefu hotelini na wageni kwa ajili ya maharusi (honeymoon).

Pia tunaandaa vifurushi zawadi kwa sherehe za kuzaliwa, ndoa, sendoff, kitchen party, baby shower, kipaimara, komnio, ubatizo, mahafali, shukrani,s iku ya wapendanao(valentine), sikukuu mbalimbali za mwaka, zawadi kwa ajili ya kufarijiana(wagonjwa na misiba).

Onyesha upendo, ukaribu na kujaliana kwa kuagiza moja ya zawadi zetu zinazofungwa kwa ustadi mkubwa, gharama zetu zinaanzia 30,000Tshs na kuendelea kutokana na mahitaji yako, tembelea kwenye facebook fun page yetu JAMBO GIFT BASKETS wasiliana nasi kwenye Whatsapp na simu no +255 (0) 715006800

Comments