![]() |
Marehemu Zainab Buzohera enzi ya uhai wake. |
Dullah na Familia ya Buzohela inakukaribisha kwenye kisomo cha kumuombea mpenwa wetu Zainab Buzohera kitakachofanyika kesho Jumanne Jan 7, 2014 katika ukumbi wa Mirage uliopo 1401 Uneversity BLVD,
Hyattsville, MD 20783
kuanzia saa 12:00 jioni(6:00pm ET)
Kesho ni siku ya kazi na majukumu mengi yanayotukabili lakini kama utapata nafasi tunaomba wakina baba mchangie vinywaji na akina mama mchangie chakula.
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali wasiliana na
Idd Sandaly 301 613 5165
Jabir Jongo 240 604 0574
Jasmine Bernett 410 371 9966
Hidaya Mahita 240 271 7799
Catherine Mukami 240 481 0392
Irene Milembe 571 501 0122
Latifa Mzese 240 603 7363
Asante
Taswira za nyumbani kwao mpendwa wetu Zainab Buzohera Ukonga Banana Tanzania
Juu na chini ni Loveness Mamuya na mama wa marehemu kwenye msiba wa mpendwa wetu nyumbani kwao Ukonga Banana, Dar es Salaam Leo Jumatatu Jan 6, 2014
Wadogo wa marehemu wakiwa na sura za huzuni
Majirani, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na familia wakijumuika pamoja nyumbani kwa marehemu Ukonga Banana, Dar es Salaam, Tanzania leo Jumatatu Jan 6, 2014.
Comments
Post a Comment