MAREHEMU MZEE DUDE OMARY AZIKWA LEO [PICHA].

Mwili wa  marehemu Omary Majuto maarufu kwa jina la Mzee Dude aliyefariki jana jioni ukiombewa duwa.

Kwa mapenzi mema na urafiki hata watoto wadogo walishiriki kuweka mchanga kuusitiri mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa kundi la uchekeshaji wa luninga la FUTUHI marehemu Omary Majuto maarufu kwa jina la Mzee Dude aliyefariki jana jioni. 
 
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un R.I.P Mzee Dude Omary

Comments