MAREHEMU SOUD MOHAMED 'MCD' AZIKWA LEO HUKO MOSHI [PICHA].


Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un 


PICHA HII INA TASWIRA AMBAYO WENGI WANAWEZA KUDHANI NI MASIHARA LAKINI NAAMINI MPIGA TUMBA PEKEE ALIYEBAKIA TWANGA PEPETA NI HUYU ANAYELIA PICHANI AKIWA AMESHIKILIWA NA HAJJI BSS ANAYEITWA KAPOSHOO!!! NI WAKATI MGUMU SANA KWAKE KWAKUWA MAREHEMU ANAMCHANGO MKUBWA SANA KWENYE KAZI YAKE !!!!! ANALIA KWA KUMAANISHA!!!!!! Binafsi Kanigusa huyu Kijana ambaye Mwanzo alikuwa Muigizaji Kwenye Kundi la FUTUHI ambalo nalo limempoteza Mzee Dude!!!! RIP MCD - 'Deo Mutta Mwanatanga'










Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un 

Comments