
Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akipokea Zawadi ya Ua wakati akipokewa na Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha jijini Dsm hii Leo,Tukio hili limefanyika Nje ya Wizara ya Fedha ambapo mamia ya Wafanyakazi asubuhi ya Leo Tar.22/01/2014 walijitokeza Kuwalaki Mawaziri wapya walioteuliwa na Rais Kikwete wiki iliyopita ilikujaza nafasi za Mawaziri wanne Zilizokuwa Wazi kutokana na Kujiuzulu pamoja na Kifo cha Waziri wa Fedha Marehemu Mgimwa.


Mapokezi Yakiendelea Asubuhi ya Leo Nje ya Wizara ya Fedha.


Naibu Waziri wa Fedha Mh:Mwigulu Nchemba akilakiwa na Maofisa wa Wizara ya Fedha mapema hii leo Asubuhi wakati alipofika Ofisini hapo rasmi kuanza kazi.

Picha Zote na HABARI KWANZA BLOG
Comments
Post a Comment