NEWS ALERT! MOTO MKUBWA WAZUKA JANCO MOTEL JIJINI MBEYA USIKU HUU [PICHA].


Moto mkubwa umezuka katika hotel ya Janco forest mpya jijini Mbeya chanzo cha moto hakijajulikana mpaka tunaondoka katika tukio hilo



Picha na Mbeya yetu

Comments