SALAM KUTOKA KWA CHEIF WA SWAHILIVILLA BLOG.

 Cheif wa Swahilivilla Abou Shatry na wapenzi wa timu hiyo wakishangilia ushindi wa timu ya Chelsea dhidi ya Manchester United 
Mpenzi wa Chelsea kutoka jijini Washington DC ambae ni mwana blogger wa Swahilivilla anawatakia kila la kheri wapenzi wote ulimwengini wa timu ya Chelsea FC kwa kuwafunga Manchester United bao 5-0 
Chelsea 3-1 aaaa Man U kwisha habari yaooo
Done wapenzi wa Man U waingia mitini.......

Chelesea mmetisha sanaaaaaaa

Comments