Zainab Buzohera Enzi ya Uhai wake
Dullah na familia ya Buzohera wanasikitika kutangaza kifo cha mpendwa wao Zainab Buzohera kilichotokea jioni ya Jan 4, 2014 saa 12:30(6:30pm ET) katika hospitali ya Lanham, Maryland kama ilivyomila na desturi kupeana pole ndio Utanzania wetu
Watanzania wa DMV waliofika hospitali mara baada ya kusikia habari ya msiba ya mpendwa wao wakiwa na sura za majonzi na wengine wakisema ni vigumu kuamini kama picha zinavyoonyesha.
Watanzania waliofika hospitali mara tu walivyopata taarifa ya msiba wa mpendwa wao wakiwafariji Dullah na mdogo wa marehemu Ngalu Buzohela.
Abuu wa Swahili Villa Blog akitoa mawasiliano kwa wengine kuwajulisha kuhusu kifo cha mpendwa wao Zainab Buzohera kilichatokea jioni ya Jan 4, 2014 katika hospitali ya Lanham, Maryland.
Watanzania wa DMV wakiwa na nyuso za majonzi.
Watanzania wa DMV wakimtuliza na kumpa pole mdogo wa marehemu Ngalu Buzohela wa pili toka kushoto wakisaidiana na mume wa marehemu Dullah (kulia).

Tunaombwa tujumuike na Dullah na familia ya Buzohera katika harambee ya mpendwa wao Zainab Buzohera itakayofanyika leo Jumapili January 5, 2014 kuanzia saa 10 jioni (4pm ET) kwa ajili ya kuchangisha pesa za kusaidia na hatimae kuwezesha kusafirisha mwili wa marehemu Tanzania kwa mazishi gharama za kusafirisha mwili ni $15,000 kwa watu waliombali na DMV ambao hawataweza kufika kwenye harambee mnaweza kusaidia michango yenu kupitia Ms Ngalu Buzohera CITI BANK AC 50070000 Routing 9106834936
Harambee itafanyika 5401 Anapolis Road, Brandensburg, MD 20710
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio
Kwa wakaazi wa DMV na wale wa majimbo mengine ya jirani watakaofika kwenye harambee tunaomba msaidie kuja vitu vitakavyosaidia kufanyia mnada
Kwa maelezo zaidi na maelekezo
Ngalu Buzohera 340 330 0169
Idd Sandaly 301 613 5165
Jabir Jongo 240 604 0574
R.I.P OUR DEAR SISTER ZAY
R.I.P OUR DEAR SISTER ZAY
Comments
Post a Comment