WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA , KATIKA MLIMA NYOKA.
Miili ya Marehemu ikiwa imetelekezwa katika mlima nyoka
Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya
Kiatu vya mmoja wa marehemu aliye uawa
Hapa ni eneo marehemu walipo jaribu kukimbia
Baadhi ya mashuhuda akiwemo mwenyekiti wa Bajaji wa pili kushoto na watatu mwenye begi mgongoni mwenyekiti wa Bodaboda wakiwa eneo la tukio Mlima Nyoka. Picha na Ezekiel Kamanga
Source: Mbeya yetu Blog
Comments
Post a Comment