HII NDO HABARI YA MUJINI BAADA YA WASANII KUJIUNGA NA CCM.

Leo kwenye sherehe za kutimiza miaka 37 ya CCM na chama tawala kuzaliwa, kuna baadhi ya wasani waliohudhuria sherehe hizo na kuamua kujiunga na chama hicho. Katika pita pita zangu Facebook nimekutana na hii post kwa wall ya Joyce Kiria. Kusema ukweli mimi binafsi sijaelewa na wala sijaona tatizo lolote maana ninavyo jua mimi kila mtu ana uhuru wa kuwa mwanachama wa chama chochote. Je kuna tatizo gani kwa hawa wasanii kujiunga na CCM?
What is the big deal?

Comments