SIKU YA WAPENDANAO INAKUJA TAREHE 14/2/2014 SO MNUNULIE MPENZI WAKO ZAWADI YA KIHISTORIA YAANI YA ANAISHIA KUIKUMBUKA MPAKA MWISHO WA DUNIA CALL:- + 255 715 006 800 WAPO ENEO LA MAISHA CLUB!!
Jambo Gift Baskets Tanzania ni kampuni inayojishughulisha kwa kupokea na kuandaa oda mbalimbali za vifurushi zawadi kwa makampuni,maofisi,mashirika na taasisi kwaajili shughuli zao zao kama pongezi kwa makampuni mengine,kwa watumishi wao,makongamano,kwa wateja wao,makampuni marafiki vilevile kuwakaribisha na kuwaaga wageni.Kwa mahoteli tunanandaa shughuli za hotel(hotel amenities)kwaajili ya kuwakaribisha wageni wanaowasili kwa mara ya kwanza,wageni rasmi(VIP),wageni waliokaa muda mrefu hotelini na wageni kwa ajili ya maharusi(honeymoon)
Pia tunaandaa vifurushi zawadi kwa sherehe za kuzaliwa,ndoa,sendoff,kitchen party,baby shower,kipaimara,komnio,ubatizo,mahafali,shukrani,siku ya wapendanao(valentine),sikukuu mbalimbali za mwaka,zawadi kwa ajili ya kufarijiana(wagonjwa na misiba)
Onyesha upendo,ukaribu na kujaliana kwa kuagiza moja ya zawadi zetu zinazofungwa kwa ustadi mkubwa,garama zetu zinaanzia 30,000tshs na kuendelea kutokana na mahitaji yako,tembelea kwenye facebook fun page yetu"jambo gift baskets wasiliana nasi kwenye whatsup na simu no 0715006800
Comments
Post a Comment