MSANII wa filamu nchini Athumani Lali 'Budege' baada ya kucheza filamu za watu sasa ameamua kuja na filamu zake mwenyewe na kuwawezesha wasanii wenzie kuwa na kipato kizuri baada ya kuamua kufungua kampuni yake binafsi inayokwenda kwa jina la AJM Entatainment ambayo ina husika na maswala ya filamu za kibongo
 |
Athumani Lali 'Budege' |
akizungumza na mwandishi wa habari hizi Lali amesema kuwa kwa sasa yupo katika atua za mwisho kwa ajili ya kutoa filamu mpya inayokwenda kwa jina la Faza Hausi ambayo imeshilikisha wasanii wakongwe ndani yake akiwemo Mohamed Nurdini 'Chekbudi' ,Esha Buheti, Rashidi Mwishehe 'Kingwendu' Muogo Mchungu
Filamu hiyo itakayo tolewa na Kampuni hiyo ya jijini Dar es salaam itakuwa moto wa kuotea mbali kwani si ya kukosa kabisa kwa mashabiki wa filamu nchini
filamu hiyo ya Faza Hausi itakuwa mtaani wakati wowote kuanzia sasa kwani takribani vitu vyote muhimu vimeshafanyika hivyo wadau wakae mkao wa kula kwani filamu hii si yakuikosa
Ambapo itapatikana Tanzania nzima nikianzia Dar es salaam na mikoa yote filamu hiyo itawafikia
Hello, Je, wewe kuangalia kwa mkopo wa biashara, mkopo binafsi, nyumbani mkopo,
ReplyDeletenk.? Sisi kwa sasa ni sadaka binafsi na biashara mkopo kwa mtu yeyote
nia ya mtu binafsi katika 2% riba kutoka 1 kwa miaka 30.
Jina:
Tarehe ya kuzaliwa:
jinsia:
Hali ya ndoa:
anwani:
mji:
nchi:
simu:
Kiasi cha mkopo:
Mkopo Duration:
Net mapato kwa mwezi.
Kuwasiliana nasi: creditsolutionhome@outlook.com
Je, wewe ni mtu wa biashara au mwanamke? Je, wewe ni katika yoyote fujo fedha au kufanya unahitaji fedha kuanzisha biashara yako mwenyewe? Je, unahitaji mkopo kwa kukaa madeni yako au kulipa bili zako au kuanza nzuri ya biashara? Je, una chini mikopo alama na wewe ni kutafuta ni vigumu kupata mkopo mji mkuu kutoka ndani ya benki / nyingine taasisi za fedha? Je, unahitaji mkopo? Kama jibu lako ni ndiyo basi hapa ni ufumbuzi wako. Sisi kutoa mikopo kwa 2% kiwango cha riba na sisi kutoa mikopo zifuatazo nia ya mtu lazima tafadhali wasiliana us.citiloanfinancelimited@gmail.com
ReplyDelete