Bondia Ezira Paur wa Kigoma akipambana na Hafidhi Kassimu wa Ngome wakati wa mashindano ya Nelson Mandela Open Championship yaliyomalizika kawe Dar es salaam Paul alishinda kwa point |
Baadhi ya watu waliofulika kuangalia michuano hiyo |
Meya wa Kinondoni akizungumza wakati wa kufunga mashindano hayo |
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis katikati akiwa na mabondia wa kike waliopigana na kunyakuwa zawadi mbalimbali |
Katika picha ya pamoja
Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare akimzawadia kocha wa timu ya kawe baada ya kuibuka washindi wa tatu katika mashindano hayo |
Comments
Post a Comment