Young Killer a.k.a Msodoki, akishirikiana na Bright na Ne-Mo, ameachia video ya ngoma yake inayoendelea kufanya vizuri kwenye suala zima la burudani ya muziki. Hii hapa Video ya wimbo wake, “Mrs Supastaaa” Mdundo huu umefanywa na Mona Gangstar, na video ameifanya Adam Juma
Comments
Post a Comment