OMMY DIMPOZ NA SALAMA JABIR WAJIACHIA KWENYE VIWANJA VYA SOKA NCHINI UINGEREZA [PICHA&VIDEOS]

Ommy Dimpoz aka PKP akiwa na Salama Jabir katiak uwanja wa Chelsea FC Stamford bridge kuangalia mechi kati ya Chelsea vs Everton
 Ommy Dimpoz na Salama Jabir wakiwa na mchezaji chipukizi wa Chelsea Adam Nditi
Ommy akiwa na wachezaji chipukizi wa Chelsea baada ya mechi kumalizika Adam Nditi kulia na Islam Feruz Kushoto

Hapa wapenda soka hawa wawili wakiwa kwenye mechi kati ya Arsenal vs Liverpool Jumamosi iliyopita katika michuano ya kombo la FA CUP

Comments