WATANZANIA MNAKARIBISHWA KUHUDHURIA IBADA NA SHEREHE YA KUSIMIKWA {ORDINATION} KWA NDUGU YETU MOSES SHONGA


ST ANNE’S LUTHERAN CHURCH LONDON 
Usharika wa St Anne’s Lutheran church unapenda kuwakaribisha wote kwenye ibada na sherehe ya kusimikwa (ordination) kuwa Mchungaji ndugu yetu Moses Shonga. Sherehe itaanza saa nane mchana (2.00pm) na kufuatia na sherehe pamoja na vyakula na vinywaji baada ya ibada. Nyote mnakaribishwa.
Anuani ni:
St Anne’s Lutheran church
St Mary at Hill church

Lovat lane
Eastcheap
London
EC3R 8EE

Kituo cha karibu ni monument tube station.
Mnakaribishwa.


Comments