KENYA INA MADAKTARI 16 PEKEE WENYE UJUZI WA UPASUAJI WA UBONGO NA MISHIPA [VIDEO].

Mtazamaji unafahamu kuwa nchini kenya kuna madaktari 16 pekee wenye ujuzi wa upasuaji wa ubongo na mishipa ? Hali hii imepelekea kazi ya udaktari kuwa ngumu zaidi na kukabiliwa na changamoto si haba kwa madaktari wengine. Je ni mambo gani yalichochangia uwepo wa uhaba wa madaktari hawa? Agnes penda alitangamana na madaktari wawili wa upasuaji waliotueleza taswira yao . 

Comments