MAMA MWANAMWEMA SHEIN, AZINDUA MTANDAO WA FAWE ZANZIBAR LEO SUZA SHANGANI




Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiangalia machani ya Mla Kunguru ambayo hutegenezwa dawa za kuulia wadudu, akipata maele\o hayo kutoka kwa Mwanafunzi wa Skuli ya BenBella wa kidatu cha nne Hudhaifa Ali Hamad, alipotembelea maonesho ya Wanafunzi na Wanawake wanaopata ufadhili kupitia FAWE Zanzibar.  
 Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar na wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza katika uzinduzi wa Mtandao wa Web site  wa Fawe Zanzibar uliofanyika le katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akizindua Mtandao wa  Blog ya  (WEB SITE) wa Jumiya ya Fawe Zanzibar katika ukumbi wa Chuo  Kikuu cha Zanzibar SUZA leo  asubuhi,(kulia) Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Khadija Ali Mohamed 
 Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar na wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza katika uzinduzi wa Mtandao wa Web site  wa Fawe Zanzibar uliofanyika le katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA
 Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza na wanachama na wananchi katika uzinduzi wa Mtandao wa Web site  wa Fawe Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akimkabidhi cheti  Bi Asha Abdalla Juma kwa niaba ya Bi Mwatima Abdalla Juma wakiwa waanzilishi wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar ,wakati wa uzinduzi wa WEB SITE ya Jumuiya hiyo Uliofanyika katika Ukumbi wa  wa Chuo Kikuu cha Taifa SUZA

Mwanafunzi HUDHAIMAT



Comments