Kutokana na Takwimu iliotolewa miezi kadha iliopita kuhusu Tanzania kuwa nchi chafu huku, Dar es salaam ndo ukiwa mji uliotolewa macho kwa kuwa na uchafu mwingi sana, Kupitia kampuni yake ya Ndauka Entertainment Muigizaji Rose Ndauka ameamua kuhamasisha wananchi wa Kitanzania kuweka mazingira safi, akishirikiana na baadhi ya wasanii aliowaalika kusaidiana nae kwenye kuhamasisha wananchi kupitia Kampeni yake ya NG'ARISHA TANZANIA, Kampeni hii ilihusisha kuhusu kufagia baadhi ya
mitaa katika manispaa ya ilala, kuzoa taka na kuzitupa maeneo husika au kuziteketeza huku akishirikiana na kampuni ya Green Waste Disposal.
Comments
Post a Comment