JG BLOG EXCLUSIVE: BINTI MTANZANIA ALIA NA MABOSS LADY HUKO CHINA KWA KUFANYA MTUMWA WA NGONO [AUDIO PART 1-3].
Kuna taarifa huwa zinatoka nchini China kuwa baadhi ya dada zetu huenda huko kufanya biashara haramu ikiwa pamoja na kujiuza kwa miili yao. Katika audio clip hizi bnti wakitanzania aneishi nchini humo ameamua kufunguka na kudai kwamba alipelekwa huko na kuahidiwa kufanya kazi katika salon badala yake amesihia kufanya mtumwa wa ngono na anaomba msaada ili aweze kurudishiwa passport yake ili arudi nyumbani au aweze kuendelea na kazi za kihalali nchini humo.
Msikilize hapa chini huyo binti:
PART 1
PART 2
PART 3
Kusema ukweli kama madai haya ni ya ukweli inasikitisha sana na wito wangu ni kwa wale ambao mna ndugu huko na hamuelewi wanafanya nini please fuatilieni ili muwasaidie. Kusema ukweli inasikitisha sana. Nyie mnao jiita maboss lady hebu fanyeni uungwana kama haya madai ni kweli ili muweke mambo sawa.
MAMA PART 2

SIKILIZA BOSSLADY ALIVYO PANIC BAADA YA KUWAEXPOSE SAMAHANI KWA LUGHA INAYOTUMIKA TUMESHINDWA KUEDIT
MAMA PART 1
MAMA PART 2
Comments
Post a Comment