Birthday boy katika pose
Ujumbe safi kutoka kwa wife Didah wa Ezden
Birthday boy akikata cake yake
Mahaba nilishe nikulishe
Mtu na shem wakerose ndauka @ndauwandau wapi director wa kutumainiwa George Tyson ilikuwa raha sana...
Sauda na shem wake @saudamwilima79 @ezdee255 na mdogo wake birthday boy Sufian ...
Fredwaaa na mkewe Rahabu wa 100.5
Sameera hiyo cake hahahahahah
Mambo ya champange
Hapo chacha fredwaaa na neema wa sufian....
Happy people
Mambo ya menu
Na kinywaji kikiebdekea taratibuuuu
Mambo yalikuwa kama ivyooooo #katangazeeee
Comments
Post a Comment