H BABA ATEMBELEA KABURI NA WAZAZI WA MAREHEMU JAMES DANDU SHINYANGA.

Hbaba akiwa kwenye kaburi la Moto wa Dandu na haya ndo mawazo yake: 
Niko kwenye kaburi la #cool James #dandu wengi mlizowea kumwita #Dandu nawaasa wasanii wenzangu wa mza mnaoshiriki tuzo za #kill music awards mkibahatika kupata tuzo hii yenye heshima kubwa Tanzania ipelekeni kwa Mtoto wa dandu atafurahi sana japo katutangulia Mbele za haki . Nawaombea kwa watanzania wote wawapigie kura wanamuziki wa mwanza kwenye kill ili #tupeleke tuzo kwa ndugu yetu kaka yetu mwanamuziki mwenzetu alieitangaza Tanzania kimuziki kimataifa nakitaifa .. Mungu ibariki mza tufanikishe hili #mpigie kura @fidQ @youngkillermsodoki ili tufikishe ushindi wetu pale kwa familia ya dandu . #kwimba ngudu. Tunakaribisha ata kama msaanii mwingine akijitolea kama msanii #kala alivyofanya mwaka Jana kwakupeleka tuzo kwa mama ake na #Mangwea r.i.p #dandu r.i.p #sharobalo r.i.p #langa r.i.p #mr.ebbo r.i.p #stive2k r.i.p #complex r.i.p #lady luu r.i.p N.K ... Sote tupo njia moja tujiandae . @fidQ @bongofive @chokadj @halakatizabongo @millardayo @florahmvungi @tanzaniteone @fettydj ? NIWAZO TU KAMA MSANII MWENZENU ......
 Hbaba akiwa busy na kusafisha kaburi la Marehemu James Dandu nyumbani kwao Kwimba Shinyanga.
 Usafi unaendelea


 Hbaba akiwa katika picha ya pamoja na ndugu zake Kwimba ambapo ndipo alipumzishwa shujaa wao wa Mwanza. H Baba alienda kusafisha kaburi lake kwa kushirikiana na ndugu zake. Hbaba anatoa wito kwa wasanii wenzake na kuwaomba wawe wanapitia pale wanapopata naafasi.
 Hbaba akiwa na familia ya MZEE #Dandu kulia kwake kasimama mzee Dandu mwenyewe babu yake #coolJames #dandu kushoto kwake ni #Mama mdogo wa cool james. Mwishoni ni mjukuu wa MZEE dandu japo wapo wengi 
 Picha hizi zimebandikwa ukutani vizuri kwelii unamwona #cooljamesdandu inayofatia wamepiga kifamilia na mama yake dandu ambae kwa sasa anaishi nchini #sweden hujaa wetu wa mza #cool
R.I.P James Dandu

Comments