KIGODORO LIVE IN UK BROUGHT TO YOU BY DIDAS ENTERTAINMENT & ZAMARDI MKETEMA.

Haya Coventry kaeni mkao wa kula Kigodoro hichooo. Na anae taka Dira la Kigodoro inbox me, yamebaki mchache sana madira ya sare. Tarehe 26 April Kuanzia 18.00 PM till kuchweeee, hakuna kulala mwendo wa vigodoro na viduku tu. Dare to miss this. Wanaume kwa wanawake, ni mambo ya kukata nyonga tu. 

Comments