Kigodoro ndani ya COVENTRY Tarehe 26 April. Ni full uswazi. Wasio jua Kigodoro ni nini? Ni mambo ya uswahilini, ngoma zote ulizo miss nyumbani na ile mipasho ya nyumbani itakuwa live, Kuanzia Kiduku, vanga, mdundiko, chakacha, kibao kata, rusha roho za uswahilini, segere zotee zotee ulizo zi miss na mchezo ya kuigiza uvunje mbavu. Ni full raha, kwa vazi la DIRA. Madira ya sare yanapatikana kwa order call 07556171941 or whatsapp. New address ya Coventry. Stay tune. Ni moto, ni mambo ya kucheza na nyonga.
Comments
Post a Comment