
Mke
wa rais Mama Salma Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa sherehe za
uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya
mandela mjini Moshi.

Mke
wa rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia wananchi waliofika katika
sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja
vya mandela mjini Moshi. |
Mkurugenzi
huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akitoa neno la
shukrani mara baada ya Mke wa rais,Mama Salma Kikwete kutoa hotuba
yake.
Mke wa rais ,Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa wiki ya chanjo duniani.
Naibu
waziri wa Afya,Kebwe Stephen Kebwe akizungumza wakati wa sherehe za
uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika katika viwanja vya
mandela mjini Moshi.
Baadhi ya washiriki katika uzinduzi huo kutoka Asasi mbalimbali mkoani Kilimanjaro.
Mwakilishi
mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungumza
wakati wa sherehe za uzinduzi wa wiki ya chanjo duniani uliofanyika
katika viwanja vya mandela mjini Moshi.Habari Na Dixon Busagaga .
|
Comments
Post a Comment