TANZIA:
DADA HELLEN S SHEMNDOLWA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YAKE MZAZI KILICHOTOKEA JANA 20/04/2014 HUKO ARUSHA MBAUDA, MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU, TUMUOMBEE DUA MWENYEZI MUNGU AIPUMZISHE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI AMINA.
Pole sana dada Hellen kwa kuondokewa na mama Mungu awafariji na kuwapa nguvu katika wakati huu mgumu na siku zote.
JG Blog
xoxo
Comments
Post a Comment