Dar es Salaam Picha na Khamisy Fadhilly
Mitaa ya Nyumbani Lounge
Mitaa ya Jangwani
Maeneo megineyo
Huko mtaani watu wamepata ajira lakini kwa bei za ajabu
"Dada nakubeba lakini ujue nauli kukufikisha kituoni Elfu 10"
Ah kaka elfu 10 kubwa sana mimi nna buku 2 tu
"Ah kama buku 2 nakushusha hapahapa katikati ya dimbwi,yaanj umevaa nguo za Louis Vuitton umemechisha na begi halafu unanipa buku 2 hizi si dharau?"
Mara....DUBWIIIII by Seth Giovanni
Morogoro Msamvu Picha na Kajunason Blog
Daraja huko Bagamoyo nalo chini cheki video hapa chini
Daraja la mapinga bagamoyo.hamna mawasiliano ya dar na bgmoyo nasikia hvo.very sad


Foleni nayo usiombeeeeeeeeeeee....
Sehemu ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha msongamano mkubwa wa mago kuanzia jana jioni na leo.
Barabara ya kuelekea Goba....
Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...
Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.
Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....
Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....
Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....
Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.
Mwenge karibu na Zahanati...... hakuna njia ya kuingilia Zahanati
Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....
Kazi haifanyiki leo katika maduka haya...
Mwenge eneo la Nakiete......
Morogoro by Shekidele Blog
TUWAKUMBUKE KATIKA SALA ZETU.
Comments
Post a Comment