Kuna taarifa kwamba mwanamuziki mkongwe Mzee Muhidin Gurumo amefariki dunia mapema leo hii. Habari zaidi zitawaijia kadri tunavyo zipata.
R.I.P Mzee Wetu Muhidin Gurumo...Inna Lillah Wa Inna Ilayhi Raajiun...Tulikupenda Lakini Allah Amekupenda Zaidi....
Hapa chini ni interview yake katika show ya MKASI
Comments
Post a Comment