RAIS JAKAYA KIKWETE AONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA.

1

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru kuwaongoza watanzania katika maadhinimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania yanayofanyika kila mwaka Aprili 26 kusherehekea muungano wa Tanganyika na Zanzibar  yaliyoasisiwa na Baba wa Taifa Mwalimu J.K.Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume Aprili 26 mwaka 1964, Watanzania wengi wamejitokeza katika maadhimisho hayo wakiwemo marais wa nchi mbalimbali za Afrika, Viongozi mbalimbali na wawakilishi wa nchi  katika mataifa mbalimbali ya Afrika, Nchi za kiarabuni, Asia  na  Ulaya, Fullshangwe ilikuwepo kwenye   eneo la tukio na kukuletea moja kwa moja matukio mbalimbali yaliyojitokeza katika maadhimisho hayo ambayo yamefana kwa kiwango kikubwa. 2

Rais Jakaya Kikwete akiingia kwenye uwanja wa Uhuru. 3

Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama 4

Akiendekea kukagua vikosi 5

Viksoi vya ulinzi na usalama vikiwa katika gwaride maalum 7
Rais Jakaya Kikwete akirejea jukwaa kuu mara baada ya kukagua gwaride. 8
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Mseveni wa Uganda katikati nI King Mswati wa Swaziland na kushoto ni Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi. 9
Rais Jakaya KIkwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya katikati ni Rais Piere Nkurunzinza wa Burundi na kushoto ni Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda. 10
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Rais Uhuru Kenyata mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru. 11
Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama jukwaa kuu wakati wimbo wa taifa ukipigwa. 14
Marais mbalimbali wakiwa wamekaa jukwaani 15
Rais Piere Nkurunzinza akisalimiana na Rais mstaafu wa Zambia Mh. Rupia Banda wakati wa maadhimisho hayo, katikati ni Rais Mstaafu wa Namibia Dr. Sam Nujoma. 16
Rais Piere Nkurunzinza akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Mizengo Pinda kushoto ni Rais mstaafu wa Zambia Mh. Rupia Banda. 17
Rais Piere Nkurunzinza akisalimiana na Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyata mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Uhuru. 18
Rais wa Uganda Mh. Yoeri Museveni akisalimiana na Rais mstaafu wa Namibia Dr. SamNujoma 19
Rais wa Malawi Mh. Mama Joyce Banda akiwasili kwenye uwanja wa Uhuru kuhudhuria maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. 20
Mpiganaji  Nicholas Mbaga wa TBC akiwa Live kuripoti matukio mbalimbali ya maadhimisho hayo.
3
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kutoa heshima mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete. 4
Kikosi cha Makomandoo kikionyesha ukakamavu na kuonyesha uwezo wake katika mapambano ya Karatee na  mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete. 5
Makomandoo hawa wakionyesha uwezo mkubwa wa mapambano na adui.   7

Comments