Skip to main content
RISALA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA KWA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO TANZANIA.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Katibu wa Jumuiya ya Watanzania waishio Uingereza Bi Mariam Mungula alipokuwa London kwa ziara ya kiserikali kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa uingereza Mhe David Cameron. Risala hiyo inasomeka hapa chini...
Comments
Post a Comment