JE WAJUA? ZIWA MWANANYAMALA LILIKUWEPO #lakemwananyamala.



In actual fact, ilikwepo zamani. Sasa, baada ya tabia hewa kubadilika miaka mingi sana haijatokea mvua za kuelekeza Maji ya kutosha kwenye ziwa hilo, likakauka. Watu wakaanza kujengea makazi hapo, serikali nayo ikachangia kujenga mitaro midogo (ovyo kabisa) ya kuelekeza Maji YATAKAYOKUJA huko, kuendea sehemu za Msasani na Mikocheni na hatimaye kuishia baharini. Hapo hapo bwawa la 'bonde la Mpunga' msasani, limejazwa na Tanesco na wawekezaji wakihindi. Tendo kilichosababisha Maji ya mvua kuongezeka kwenye mitaro isiona mpgio wala uwezo wa kubeba Maji yote hayo. #doueven know the name of that roa from Tanesco to Msasani beach?:)

Comments