Msanii ambaye yupo juu kwenye gemu ya muziki wa kizazi kipya Diamond akifanya onesho LIVE chini ya udhamini wa MTVBASE ROAD TO MAMA iliyofanyaka Club Bilicana usiku wa Ijumaa May 16, 2014
Diamond na vijana wake WASAFI Classic wako njiani wanakuja kufanya yao huku wakisindikizwa na Ommy Dimpoz ambaye nae atazindua wimbo wake mpya 'NDAGUSHIMA' live. Hi event si ya kukosa maana ni show moja tu and I mean moja tu. So leo tukutane pale Oasis.
Diamond akifanya vitu vyake Club Bilicanas
Picha zote kutoka wasafii.blogspot
Comments
Post a Comment