FID Q MASANII BORA NA MTUNZI BORA WA HIP HOP KILI MUSIC AWARDS 2014

Huyu ndiye Fid Q msanii na mtunzi bora wa Hip Hop 

 @fidq akiwa na @babutale @mkubwafella baada ya ushindi #ktma2014 #jestinageorgeblog#diasporablogger #eventstz. Congrats @fidq @fidq@fidq @fidq 👏👏👏👏👏
@MwanaFA akiongea kwa niaba ya mtunzi bora wa Hip Hop, @FidQ. #KTMA2014 #jestinageorgeblog #diasporablogger #eventstz 
 Huu mwaka wa @fidq dah amekwapua nyingine mtunzi bora wa Hip Hop #ktma2014 #jestinageorgeblog #diasporablogger #eventstz congrats @fidq 👏👏👏👏👏👏

Congrats bro

Comments