IRENE UWOYA KATIKA SAKATA NA ANAEDAIWA KUWA MPENZI WAKE MPYA [AUDIO].

Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huu ana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene Uwoya, Soudy Brown alimtafuta Msami na kumuuliza ukweli juu ya Taarifa hizi lakini alichomoa, hakuishia hapo akamtafuta ex-girlfriend  wa zamani au niseme ambaye wamegombana kutokana na Msami kuchepukia kwa Uwoya, mdada huyo anayeitwa Rehema ambaye pia ni Dancer mkali sana maarufu akatiririka kuwa ni kweli taarifa hizo anazo ila ana uhakika Msami atarudi kwake wala hana wivu na Uwoya na anachofahamu Irene Uwoya eti alimlaghai Msami kwa kumwambia eti anataka kuwa meneja wake kwa kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye Dimbwi zito la mahaba. Sikiliza kilicho endelea hapa chini:
Msami akiwa na ex girlfiend wake Rehema
Hii issue utaiskia kesho maana kuna mazito hujayaskia sasa Kesho inaendelea ndani ya #XXL saa saba mpaka saa kumi jioni. Stay tuned


Comments