Katika Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University) akiwemo mTanzania anayeishi hapa mjini Maryland Ismail Bibangamba ameweza kutimiza ndoto yake ya kufaulu nondo ya Master of Business Administration siku ya Jumatatu May 19. 2014 Ndani Comcast Center, College Park Maryland Nchini Marekani.
Matumaini: Baadhi ya wanafunzi mbali mbali waliofaulu akiwepo Ismail John Bibangamba wakimsikiliza maelezo maalumu mara tu baada ya kukabidhiwa vyeti vyao katika Mahafali ya Mahafali ya Spring 2014 Commencement (Bowie State University)
Angalia Mahafali kwenye Video
Comments
Post a Comment