LE MUTUZ aka WILLIAM MALECELA AFUNGUKA KUHUSU BIFU LA WEMA NA KAJALA.

@ LE MUTUZ SYSTEM LIVE STRAIGHT TALK!!:- 

LEO I HAVE TO SAY SOMETHING KUHUSU VITA YA MY TWO SUPER FRIENDS SUPER STAR KAJALA NA WEMA SEPETU.

MIMI NI BAHARIA KWENYE UBAHARIA TUNA RULE NAMBA MOJA NAYO NI WE DO NOT BETRAY OUR FRIENDS NA HASA KAMA AMEKUSAIDIA UKIWA NA MATATIZO, NA BINADAM YOYOTE ULIYEMSAIDIA AKIWA KWENYE MATATIZO MAKUBWA AKAKUGEUKA AKIWA HANA SHIDA TENA SIO MTU WACHANA NAYE NI MSHENZI NA NI MNYAMA, NINASEMA HIVI REGARDLESS YA CHANZO CHA BIFU LAO, I HOLD KAJALA RESPONSIBLE KWA KUENDELEA KWA THIS CHILDISH BIFU DUNIA NZIMA INAJUA KUWA KAMA WEMA SEPETU HAKUMTOLEA ZILE MILLIONI 13 ANGEOZA JELA MPAKA LEO, MIMI NILIFIKIRI KILA KAJALA AKIKUMBUKA THAT ATAMUHESHIMU WEMA NA MAPUNGUFU YAKE HATA YAWE VIPI NA KAMA YAMEZIDI KIPIMO SI UNAMKWEPA TU LAKINI YOU REMAIN FRIENDS!!

- I MEAN THIS ONGOING FEUD INANISIKITISHA SANA KWA SABABU INAKUTOA UTU KAJALA NA KWA SABABU MBILI MUHIMU KWANZA WEWE NI MKUWBA KIUMRI KULIKO WEMA NA PILI AMEKUSAIDIA MAHALI AMBAPO HAKUNA MTU MWINGINE ANGEWEZA KUKUSAIDIA HAO UNAOWARINGIA SASA WALIKUWA WAPI SIKU ILE PALE MAHAKAMANI? I WAS THERE MACHO YALIKUWA YAMEKUTOKA MEKUNDU MACHOZI YANAKUMWAGIKA KAMA MVUA, AKAJA WEMA KUKUOKOA NA SASA NI YALE YALE SHUKRANI YAKO YA PUNDA!! JIRUDI MY SISTER MUOMBE MUNGU WAKO AKUSAIDIE UELEWANE NA WEMA HATA KAMA HAMUWEZI KUWA MARAFIKI LAKINI KUWEPO NA AMANI KATI YENU, MIMI SIMZIMIKII MTU YOYOTE ASIYE NA SHUKRANI NA KWENYE HILI NI WEWE HUNA SHUKRANI, SO BACK OFF!!, 
JAMANI JIONI NJEMA!! -LE MUTUZ 

Comments

  1. Le-mutu you might be right.
    Ila angalia pia isije ikawa msaada unamgeuza Kajala a slave wa Wema na nobody knows who is right n wrong kati yao. Aliyesaidia anawezaa akadhani amekuwa ndio mume wa aliyesaidiwa.

    So wote wawe na busara na msaada usiwe hatima ya busara yako kwamba huyu mwingine lazima awe mnyonge forever. Tuambie root ya mzozo na wakutanishe ukiona inafaa. Kutuamboa alimsaidia ni sawa na wazungu wanavyotuangalia-wanatusaidia so we are silent slaves

    ReplyDelete
  2. ..........Hayakuhusu mapensi,sema unataka kick....#tumekushtukia

    ReplyDelete
  3. ...... "THIS CHILDISH BIFU DUNIA NZIMA INAJUA KUWA KAMA WEMA SEPETU HAKUMTOLEA ZILE MILLIONI 13 ANGEOZA JELA MPAKA LEO". Hakuna aijuaye kesho bhana, yaani unaongea as ifu wewe ndio Mungu!!!!! #Sad.

    Kwa hizi kauli, inamaanisha kuwa just for 13m, na kwa sababu Kajala alikuwa kwenye matatizo so Wema alitake advantage kumtolea ili aje kumfanya mtumwa wake na akae Kimyaa....
    Siwezi kus-support huo ujinga hata siku moja.

    ReplyDelete

Post a Comment