


Mangula ameonya Wana-CCM wanaofanya Kampeni kwenye Majimbo mbalimbali wakati Muda wa Kampeni haujafika,Amesema ni Kosa kwa Mtu yeyote anayejipitisha Kwa Wananchi kuomba ridhaa ya Kugombea Kupitia Chama cha Mapinduzi wakati muda haujafika,Ameomba Jimbo la
Kalenga na Chalinze Wabunge wao wapewe nafasi ya Kutekeleza ahadi zao kwa Muda mfupi Uliobakia.Mbali na hilo Philip Mangula ameonya Makundi ndani ya Chama na Usaliti wakati wa Uchaguzi,Mwana-CCM Mtiifu hawezi Kukisaliti chama wakati wowote Ule,Hivyo Ikibainika Umesaliti Chama adhabu yake ni Kali sana.








Mh:Mwigulu Nchemba akiteta Jambo na Mbunge wa Kalenga Mh:Godfrey Mgimwa.
Dokii akitoa Burudani ya Mziki kwa Wananchi waliofika kwenye tukio hili.







Picha/Maelezo na Festo Sanga.
Comments
Post a Comment