SPOTTED: WEMA SEPETU NA BI SANDRA aka MAMA YAKE DIAMOND PLATNUMZ.

Habari ndo hiyo mtu na mamy akeeeeee... wacha movie iendelee

Comments

  1. asante sana Jestina wera wera wema wakimbizee hao safi sana mtu na mkwe wake Mungu awape miaka 1000 wema tunakupenda hutuangushi fans wako ata siku moja ndo vitu tnataka kuona sasa ivi tunapiga goti tu tuone ndoa na watoto mzaeeee

    ReplyDelete
  2. Tena wafunge midomo
    Mama asante sana. Mungu azid kukubarki. Amen

    ReplyDelete
  3. yaan safi sa wema kwel we una mapenz ya dhat kwa dai had ndugu zake endelea kuonyesha upendo wako kwao ipo cku watona umuhimu wako kwao

    ReplyDelete

Post a Comment