Director nguli wa filam George Tyson hatunaye tena DUNIANI. Polen tasnia ya filam nchini na wadau wote kwa msiba mzito. MUNGU atutie nguvu katika kipindi hiki kigumu kwetu. Msiba uko Bahari Beach nyumbani kwa marehemu. Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe. Rais TAFF
Poleni sana Bongo Movie, ndugu jamaa na marafiki wote mliofikwa na msiba huu.
R.I.P George Tyson
Comments
Post a Comment