VILIO VYATAWALA MAZISHI YA RACHEL NA MWANAE. R.I.P RACHEL [VIDEO]

Mwili wa mwigizaji wa filamu, Rachel Haule 'Recho' pamoja na mwanaye imezikwa Alhamisi ya Mei 29, 2014 katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mamia ya wananchi. Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi!

Comments