ZAINAB KESSI MTAMBO ALAMBA NONDOZ TAYLORS UNIVERSITY MALAYSIA.

 Zaina akiwa na nondoz yake ya Communication & Media Management
 Safi sana msichana
 Zaina akiwa na wazazi wake
 Mr & Mrs Shabani Kessi Mtambo wakiwa katika pose
Wazazi wakiwa na furaha pamoja na binti yao
 Proud father & daughter

 Family
 Congrats to you praents

 Family affair
Congrats Zaina tunakutakia kila la kheri katika maisha yako.

Comments