BABU TALE NA MKUBWA FELLA NDANI YA DODOMA JANA KWENYE TAMASHA LA UZALENDO #NAIAMINA [PICHA]

 Meneja wa Diamond Platumz na wasanii wengine wengi Hamisi Taletale aka Babu Tale akiwa katika pose
 Babu Tale akiwa pamoja na business partner wake Mkubwa Fella wakiingia uwanja wa Jamuhuri jana kwenye tamasha la uzalendo
Babu Tale na Mkubwa Fella wakiwa katika maongezi na Waziri wa Michezo na kumpa habari ya kinachojiri katika tasnia ya muziki
 Wakiaaga na waziri baada ya maongezi
Babu Tale akiwa amekati na msanii mmoja wapo anae mmanage Madee jana kwenye tamasha la uzalendo viwanja vya Jamhuri Dodoma.

Comments