BOW WOW SASA KUJULIKA KWA JINA LAKE KUZALIWA LA 'SHAD MOSS' [Insta Video]

Bow Wow ameamuwa kuliacha jina lake la kwenye stage na kuanza kutumia jina lake la kuzaliwa ‘Shad Moss’.
Rapper, actor and BET host aliyasema hayo kwenye ukurasa wake wa Instagram jana , alisema jina la Bow Wow hivi sasa haliendani na yeye kwa wakati huu na ataanza rasmi kulitumia jina lake alilopewa na wazazi wake ambalo limo kwenye cheti chake cha kuzaliwa  Shad Moss kuanzia June 29th baada ya  (BET Awards).
ANNOUNCEMENT: After BET awards i will no longer go by Bow Wow! Im going by my real name “Shad Moss” we made alot of history as bow wow. Now its time for the next chapter and challenge. Bow wow does not fit who i am today. Ima father, business man, TV host, Actor, and rapper! Time for MR Moss to take over!
Shad alijulikana kama Lil Bow Wow wakati alipozuka kwenye fani ya mziki akiwa na miaka 13 na album yake ya Beware Of Dog. 
Bonyeza play hapo chini umsikilize mtu mzima mwenyewe akitowa ujumbe kwa wafuasi wake wa instagram

Comments